Tuesday, November 12, 2013

VIONGOZI WA TPIF WA KUTANA NA JAJI MKUU WA ZANZIBAR LEO 12/11/2013


VIONGOZI WA TPIF WA KUTANA NA JAJI MKUU WA ZANZIBAR LEO 12/11/2013

KATIBU MKUU WA TPIF NDUGU IMAMU M. VUAI NA MSAIDIZI MWENYEKITI MH; MODEST D. HASSAN WAMEONANA NA JAJI MKUU WA ZANZIBAR MH; OMARI O. MAKUNGU KATIKA OFISI YAKE VUGA MJINI ZANZIBAR
LENGO LA ZIYARA HIYO ILIKUWA NI KUMTAMBULISHA UWEPO WA TPIF ZANZIBAR NA KAZI ZAKE AKIONGEA NAIBU MWENYEKITI ALISEMA "MH JAJI MKUU LENGO KUU LA ZIARA YETU KWAKO NI KUKUTAMBULISHA JUU YA UWEPO WETU ZANZIBAR NA NINI MALENGO YA UWEPO WETU" KWA UPANDE WAKE KATIBU MKUU WA TIPF ALISEMA KUWA MALENGO WA TPIF NI KUTOWA MUAMKO KWA JAMII JUU YA UMUHIMU WA AMANI NA MAENDELEO, KURAHISISHA UJEZI WA AMANI KUPITIA HAKI ZA BINAADAM NA DEMOCRASIA, PIA ALI ONGEZA KUWA TPIF IMESAJILIWA KURAHISISHA UTATUZI WA MIGOGORO NDANI NA NJE YA NCHI;
KWA UPANDE WAKE JAJI MKUU ALI SEMA KUWA AMEFURAHI SANA KWA UONGOZI WA TPIF KUMTEMBELEA OFISINI PAKE, HATA HIVYO ALIIBUWA CHANGAMOTO KAZAA KWA  VIONGOZI HAO IKIWA NI PAMOJA NI VIPI VYAZO VYA MAPATO VYA TPIF? , VP TPIF ITAJIENDESHA KATIKA HARAKATI ZAKE ? ALIBAINISHA MIFANO KAZAA KATIKA JAMII KUH UENDESHAJI WA SEMINA NA MAFUNZO MBALI MBALI,
MAZUNGUMZO HAYO YALIKUWA NI YA NUSU SAA NAYALIKUWA NI YA MAFANIKIO MAKUBWA KWA TPIF
NIMWAZO MZURI KWA MAENDELEO YA TPIF HAPA ZANZIBAR NA TANZANIA KWA UJUMLA, VIONGOZI HAO PIA WANA MATARAJIO YA KUONANA NA MAKAMO WA KWANZA NA WAPILI WA RAISI, SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI PAMOJA NA MWANASHERIA MKUU WA SEREKALI

No comments: