Sunday, September 8, 2013

TPIF KUFUNGUWA OFFISI ZAKE ZANZIBAR

Tanzania Peace initiative Foundation imethamiria kufunguwa tawi lake zanzibar , kikao kilicho fanyika mjini hapa siku ya ijumaa ya tarehe 6/9/2013 kilicho ongozwa na katibu mkuu wa taasisi hiyo ndugu Imamu M. Vuai na kuhudhuriwa na wanachama lukuki wa TPIF waliopo zanzibar kimekuja na mikakati ya kusajili na kutafuta offisi haraka iwezekanavyo,
Nd; Imamu ali semakuwa tpif Zanzibar mara baada ya kusajiliwa itakuwa na uwezo ya kufanya shughuli zake kisheria kwa kufuata taratibu za nch kama asasi nyengine za kiraiya zinavyo fanya
mmoja wa wanachama waandamizi nd modest D hasan alisema kuwa TPIf zanzibar kwa kushirikiana na makao makuu dar inaweza kulema mabadiliko makubwasana kwa taifa la Tanzania.

No comments: