Sunday, August 25, 2013

VIONGOZI WA TPIF WA NENE

Mkurugezi, katibu na muhasibu wa TPIF wakio katika mjadala wa kuimarisha taasisi hiyo ,
pamoja na mambo mengine  walijadil jinsi ya kupata fund kwa ajili ya kuendesha ofisi muhasibu alipendekeza kuwepo na miradi midogi midogo kwa ajili ya kupata fedha za kuendeshea offisi hiyo
 

No comments: